Kiswahili Quiz 1 0% 22 KISWAHILI QUIZ 1 Chozi la HeriJibu maswali kulingana na maagizo yaliyopewa Andika jina lako na barua pepe katika nafasi ulioachiwa hapo. 1 / 15 Taja mrejelewa wa maneno haya: 'Mambo ya sudi huenda kwa sudi' Sudi Ridhaa Mwangeka Selume Apondi 2 / 15 Tambua msemaji wa maneno haya: "Hakuna amani bila kumheshimu mwanaume" Mwekevu Mvulana aliyevaa shati la 'Hitman' Tetei Kaizari 3 / 15 Tambua mbinu inayojitokeza katika dondoo hili: 'Baada ya kiviga hiki, mimi,mama na ndugu zangu wengine tuliendelea na safari bila kujua kipaji na kisogo cha safari yenyewe' Tanakuzi istiari Kinaya tashtiti tashbihi 4 / 15 Tambua mbinu zozote mbili zinazojitokeza katika dondoo hili: 'Hata hivyo walikuwa wapiga mbizi nchi kavu, maskini wakaishia kuumiza nyuso zao! Maandamano yao yalisalimiana na risasi na vitoza machozi.' tashbihi tashihisi msemo tanakuzi Jazanda 5 / 15 Tambua msemaji wa maneno haya: '...msafiri wa kikaida huwa kafiri, sembuse sisi ambao tulisafiri bila hiari!' Kairu Kaizari Mwaliko Lunga 6 / 15 Tambua msemaji wa maneno haya: 'Ni muhimu pia ujue kwamba ikiwa unataka kujiokoa au kuzoea hali mbaya inayokukabili, ni muhimu kujiingiza katika hali yenyewe,' Kaizari Mwangeka Umu Mwaliko 7 / 15 Tambua mbinu ya uandishi inayojitokeza katika dondoo hili: "Alijiona kama mfa maji ambaye anakabiliwa na mtutumo wa mawimbi ya misiba, mmoja baada ya mwingine." kinaya istiari tashihisi jazanda 8 / 15 Tambua msemaji wa maneno haya: Si nyinyi mliokuwa hata mkipinga elimu ya mabinti hawa?' Apondi Kairu Kangata Lunga 9 / 15 Tambua mbinu zozote mbili zinazojitokeza katika dondoo hili: 'Uvuguvugu uliotokana na mwanguko wa machozi haya uliulainisha moyo wake ukampa amani kali.' Nidaa Tashihisi Isitiari Tashbihi Jazanda 10 / 15 Tambua msemewa wa maneno haya: 'Huku kutakuwa kukata mbeleko kabla ya mtoto kuzaliwa' Tila Mwangeka Ridhaa Kaizari 11 / 15 Tambua msemewa wa maneno haya: ' Hawezi kumdhuru. Simba hata akawa mkali vipi ni muhali kumrarua mwanawe' Tuama Zohali Kairu Chandachema Pete Selume 12 / 15 Taja msemaji wa maneno haya: 'Unajua hali ya mtafaruku wa kihisia inayowapata vijana katika umri huu.' Lime Chandachema Fungo Pete Zohali 13 / 15 Tambua mbinu zozote mbili zinazojitokeza katika dondoo hili: 'Vipi dume kubwa kama wewe litafuata mkondo kama maji bila nadhari?' kinaya tashbihi istiari jazanda msemo 14 / 15 Taja msemaji wa maneno haya: 'Unajua hali ya mtafaruku wa kihisia inayowapata vijana katika umri huu.' Chandachema Lime Fungo Zohali Pete 15 / 15 Tambua msemaji wa maneno haya: 'Vijulanga vilinyakuliwa kwa lazima kutoka kwenye susu zao, hata vifua havijapanuka...' Ridhaa Mwanaheri Kaizari Lunga Apondi Your score is The average score is 25% 0% Restart quiz